Chorus
[s] Salamu Salamu Maria -n[w] Mama yetu wa fatiman[s] Sisi wana wako - [w] Tunakusalimu *2
Verse 2
Uliwambia Francis - Lucia na Jacinta
Tusali rosari - ili tuokoke
Verse 3
Umejaa neema - kuliko wake wote
Naye Yesu mwanao - amebarikiwa
Verse 4
Utuangalie sisi - duniani tulimo
Shida nyingi zatusonga - tuokoe mama
Verse 5
Utuombee Maria - kwa mwanao Yesu
Ombi letu lifikishe - Mbinguni ulipo