Verse 1
Salamu salamu malkia wa mbingu Salamunsalamu mama wake Mungu (sisi wananwako twaja mbele yako, tupokee mamansisi mali yako) *2
Verse 2
Kukupenda wewe ndio heri yetunkukuomba wewe tumaini letu, ee mamanmpole mwenye uso mpole utuhurumienutusaidie
Verse 3
Yesu kakupenda akakuteua, kuwa mamanyake akakuteua umebarikiwa umejaanneema jina lako mama litukuzwe kote
Verse 4
Hapa duniani utusaidie, na adui mwovunutuepushie utuangalie, utusimamie, eenmama mwezaji utusaidie