Chorus
Salamu Maria salamu,
Salamu Bikira - mama Maria ,
Mama wa mkombozi - mama Marianumejaa neema nyingi
Verse 2
Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako .
Verse 3
Uwatulize wenye shida, waweze kupata raha
Verse 4
Maishani utuongoze, tuepukane na dhambi
Verse 5
Tuombee kwa Mungu Baba, nasi tufike mbinguni .
Verse 6
Uwalinde na viongozi, waenezao neno la Bwana