SectionsExitSalamu Maria Mama Wa Mungu

Salamu Maria Mama Wa Mungu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Salamu Maria Mama wa Mungu

Sisi wanao twakusalimu

Salamu Maria Mama wa Mungu

Sisi wanao twakusalimu

Verse 2

Tunakujia ututazame,nsisi wanao twakuimbia

Verse 3

Wewe ni nguzo ya wasafiri,nsisi wanao twakuimbia

Verse 4

Wewe ni mlango wa uwinguni,nsisi wanao twakuimbia

Verse 5

Ututazame ee Mama mwemantukipambana na matatizo