SectionsExitSalamu Mama Mwema

Salamu Mama Mwema

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Salamu, mama mwema ewe Maria, mama

Sisi wanao leo twakusalimu (ee Mama) *2n[b] Salamu salamu salamu salamu mama yetunee mama Maria Mwombezi mama utuombeen[s:] Salamu ee mama yetu salamu mama yetunmama ee Maria mwombezi mama utuombeensalamu salamu salamu mama yetunmama ewe Maria Mwombezi utuombeen[t:] Salamu salamu salamu salamu mamanmama ee Maria Mwombezi mama utuombee

Verse 2

Sisi wana wako twakujia tuombee ee Maria

Verse 3

Twakujia tukiomba msaada wako ewe mama yetu

Verse 4

Bikira Maria waombee mayatima mama yetu.