SectionsExitSalamu Mama Mtakatifu

Salamu Mama Mtakatifu

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu

Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia

Daima na milele

Salamu Mama Mtakatifu wa Mungu

Uliyemzaa Mfalme mwenye kutawala Mbingu na dunia

Daima na milele }

Verse 2

Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma

Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema

Verse 3

Bwana huwahifadhi wote wampendao

Na wote wasio haki atawaangamiza