Verse 1
Salamu mama maria Salamu Salamu
Salamu mama maria, twakusalimu mama yetu
Chorus
Ni maama wa mkombozi, ni mama mwenye huruma, ni mama mpendelevu.
Ni mwenye neema nyingi*2
Verse 3
Ni mama mtakatifu ni mama yetu Maria
Ni mama wa mkombozi, ni mama mpendelevun
Bikira mwenye heshima, ni mama yetu Maria,nbikira mwenye huruma ni mama yetu marian
Ni nyota ya asubuhi ni mama yetu marianbikira wa mabikiran
Ni mama mstajabivunni mama wa familian
Malkia wa malaika
Malkia wa mashahidi