Chorus
Salamu, salamu, salamu, ee msalaba
Verse 2
Salamu ee msalaba nakuabudu leo
Ulalo wake Yesu kitanda cha uchungu
Verse 3
Salamu ee msalaba, alama ya wokovu
Shetani ukamshinda tufike uwingunin
Verse 4
Salamu ee msalaba, lo Yesu atupenda
Juu yako akalazwa kwa nia ya kuteswa
Verse 5
Salamu, ee msalaba juu yako Mungu Mwana
Awalipia watu, amwaga damu yake
Verse 6
Salamu, ee msalaba, utupatie moyo
Tuende njia njema, tufike uwinguni
Verse 7
Salamu, ee msalaba, msalaba tupagae
Tupande kilimani, mbinguni tutapona