SectionsExitSalaam, Salaam

Salaam, Salaam

Marian,MarianExit
Verse 1

Tumsifu Maria, enyi wanawe

Tumtolee salamu, tumshangilie

Chorus

Salaam, salaam, salaam, Maria

Salaam, salaam, salaam, Maria.

Verse 3

Nyota ya bahari, mlango wa mbingu

Mwondoa hatari Mama wa Mungu

Verse 4

Nyota ya bahari, mlango wa mbingu

Mwondoa hatari Mama wa Mungu

Verse 5

Hatuna mwombaji aombeaye

Kwa Kristu Mwokozi kuliko wewe

Verse 6

Mametu mbinguni tumshangilie

Mwanao mpenzi pamoja nawe