Verse 1
Sakramenti kubwa hiyo, twaheshimu kifudi
Na sheria ya zamani, ikomeshwe na hiyo
Yafichikayo machoni, imani huyaona *2
Verse 2
Mungu Baba Mungu mwana asifiwe kwa shangwe
Kwa heshima atukuzwe, pia aabudiwe
Mungu Roho Mtakatifu vile sifa apate *2