SectionsExitSafari Ya Mbinguni

Safari Ya Mbinguni

Ordinary Time,Ordinary TimeExit
Chorus

Safari ya kwenda mbinguni kweli ni ngumu

Safari ina mengi ya kutia uchungu

Hakika si ya mchezo

Lazima upigane na shetani, tamaa isikukalie juu

Moyo wako nao uvumilie, ya dunia yapige teketeken

Manahodha, mabaharia si ngumu kidogo,

Hata si kama ya meli

Rubani nanyi abiria si rahisi sana,

Hata si kama ya ndege

Verse 2

[ b ] Safari ya mbinguni yahitaji moyo mweupe

Lazima ukubali nyenyekea kama mtoto

Safari si ya mchezo

Verse 3

Safari ya mbinguni yahitaji uzitubu dhambi

Lazima ukubali makosa bila kushurutishwa

Safari si ya mchezo

Verse 4

Safari ya mbinguni yahitaji moyo wa upendo

Kupenda watu wote hata pia adui yako

Safari si ya mchezo