Sadaka

Ordinary Time,Ordinary TimeOffertory
Chorus

Sadaka yangu, kwako ee Mungu

Ni moyo mnyofu na uliopondeka

Tazama wapendezwa na kweli ya moyo

Nawe wanijulisha hekima kwa siri

Nioshe kabisa na uovu wangu wote

Na kinywa changu kitanena sifa zako

Verse 2

Maana wewe Bwana hupendezwi

Na dha-bihu za kuteketezwa

Ama- sivyo mimi ningalikutolean

Wapendezwa na dhabihu za haki

Kuto-ka- kwa moyo mnyofu

Zitolewazo juu ya madhabahu yakon

Ee Mungu wa wokovu wangu

Unipe moyo radhi wa utii

Usiniondolee Roho wako Mtakatifu