Verse 1
Sacramenti kubwa hiyo twaheshimu kifudi,nna sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo;nyafichikayo machoni imani huyaonan
Mungu Baba, Mungu Mwana asifwenkwa shangwe kwa heshima atukuzwe,npia aabudiwe, Mungu Roho Mtakatifunvile sifa apate.
Amina