Rudisheni Talenta Zenu
Ordinary TimePresentation of Gifts
Chorus
(Rudisheni talenta zenu),nrudisheni talenta zenu kwa Bwana x2.
Kama wale wawili walivyorudisha,ntalenta mbili na tano faidan(nanyi pia) rudisheni talenta zenu kwa Bwana.
Verse 2
Rudisheni talenta kama wawilinwalivyorudisha mbili na tano faida
Verse 3
Pelekeni talenta kwa Bwana Mungunmkabarikiwe, mzidishwe, muongezwe.
Verse 4
Ukifcha talenta utanyang’anywa nankupewa yule anayeleta na faidan
Verse 5
Usifche talenta nenda ukatoe mbelenzake Bwana na Bwana atakuongeza
Verse 6
Ukafanya hesabu na Bwana kwa zilentalenta mrudishe na faida.