Chorus
{ Roho yangu Yesu inakutamani,nnjoo kwangu Yesu unipe heri } *2
Verse 2
Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote
Verse 3
Uje kwangu Yesu nakuomba kwani wewe u rafiki mkuu
Verse 4
Maumbo ya mkate na divai, umo ndani kweli nasadiki
Verse 5
Na uzidi ee Yesu kuwa nami, Unipe uzima wa milele