Moyo wangu wamuadhimisha
Wamuadhimisha Bwana, na roho, rohonyangu, Roho yangu yashangilia, (shangilia)nyashangilia, Roho yangu yashangilia,nkatika Mungu wangu
Kwa kuwa amemuangalia kwa hurumanmtumishi wake, tangu sasa vizazi vyote,nwataniita mwenye heri kwani yeye aliye
Mwenyezi amenitendea mambo makuu
Jina lake ni takatifu, jina lake ni takatifu
Huruma yake ni kwa wote kwa walenwote wamchao kizazi hata na kizazi,nkizazi hata na kizazi x2
Amewaondosha wenye enzi, kutoka kwankiti cha enzi, kawakuza wanyenyekevu,nkawakuza wanyenyekevu. Amewashibishanwenye njaa, amewashibisha na memanmatajiri kawarudishi, rudisha mikononmitupu
Amempokea mtumishi wake, mtumishinwake Israeli, kama alivyowaambia,nwaambia mababu zetu mababu zetu
Ibrahim, Ibrahim wa wazao wake milelenhata na milele, milele hata na milele
Atukuzwe ee Mungu Baba, atukuzwenna Mungu Mwana naye Roho Mtakatifu,nnaye Roho Mtakatifu kama mwanzo nansiku zote, siku hata milele. Siku zote hatanmilele, siku zote hata milele