Chorus
Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngun{ Nayo inayoviunganisha viumbe vyote
Hujua maana ya kila sauti aleluya } *2
Verse 2
Naye aliye na mambo yote ndani yake
Ana ujuzi wa kila neno aleluya
Verse 3
Mungu ainuka maadui wake watawanyika,
Kwani pendo la Mungu limekwisha kumiminwa,nkatika mioyo yetu
Verse 4
Na Roho Mtakatifu,ntuliyepewa sisi aleluya