Chorus
Roho wa Bwana ameujaza,ameujaza ulimwengu,nnaye anaviunganisha, viumbe vyote, viumbe vyote,
Hujua maana (hujua) maana ya kila sauti *2
Verse 2
Neno lake Mungu limeweza,kutendeka katika mioyo yetu
Verse 3
Furahini Roho mtakatifu, mfariji ukatushukia
Verse 4
Ee nafsi ya tatu ya Mungu uwe, nasi siku zote na milele