Chorus
Roho Mtakatifu Mungu tushushie leo mapaji ya Mbingu
Verse 2
Ukiwa mbali peke yetu hatuwezi jambo jema
Tuna dhambi tunakosa tu ukija ndani yetu twapona tu wema
Verse 3
Mbaya wetu shetani mdanganyifu atuzungusha na mitego
Twaogopa kwani tu wakosefu tupe nguvu tusiche hilaye
Verse 4
Tufunze hekima ya taratibu siku zote tukimtii Rabi
Tujiweke tayari kwa hesabu tuepuke na dhambi