SectionsExitRaha Ya Mbinguni

Raha Ya Mbinguni

Lent,Wedding,Ordinary Time,Wedding,Wedding,Resurrection,Ordinary TimeExit
Chorus

Ngoja nikusimulie ndugu yangu raha ya Mbingunin(kwa kweli)

Mbinguni kuna raha, ni hakika kuna raha } * 2n{Ni raha (ni raha) mbinguni ni raha ni raha tu

Mbinguni ni raha,nni raha (Mbinguni) ni raha ni raha tu

Mbinguni ni raha

Ni raha ni raha ni raha (kweli) mbinguni ni raha}

Verse 2

Huko watu hawafi kamwe - ni raha tu

Huko hakuna ma-gonjwa

Huko hawaijui huzuni

Mbingu ni raha ndugu

Verse 3

Malaika huimba huko

Wateule husifu huko

Watakatifu husujudia

Mbinguni ni raha ndugu

Verse 4

Kila nyumba ni kwake Mungu

Ndiyo yerusalem mpya

Huko yuko mama maria

Mbinguni ni raha ndugu

Verse 5

Tukitubu tutaingia

Tutamwona mwokozi Yesu

Tutasifu milele yote

Mbinguni ni raha ndugu