Verse 1
Rafiki yangu njoo kaa chini, nisikilize kwa makini
Rafiki njoo kaa chini ,nikueleze jambo moja aah
Chorus
n{Kila mtu atalipwa sawasawa na matendo ooh
Kila mtu atalipwa sawa nayo matendo yake } * 2
Verse 3
Kama uliua kwa upanga, utakufa kwa upanga
Uliua kwa silaha, utakufa kwa silaha aah
Verse 4
Kama ulikuwa ni mzinzi, utakufa kwa uzinzi
Ulikuwa mzinifu, utakufa kwa uzinzi iih
Verse 5
Kama ulikuwa mfitini, utalipwa ufitini
Ulikuwa mfitini, utalipwa ufitini iih
Verse 6
Kama ulikuwa mkarimu, utalipwa ukarimu
Ulikuwa ni mchoyo, utalipwa sawa na choyo ooh
Verse 7
Kama ulinitendea wema, utalipwa matendo mema
Ulinitendea baya, utalipwa kwa ubaya aah