Rabi Yesu ni mzima leo na mapema akafufuka mzima
Rabi Yesu ni mzima si kaburini ni salama
Dhambini haoni, tu maskini, tu utumwani
Katuokoa motoni mwovu shetani mtafuta shani
Adui kashindwa haponi
Za Rabi zetu nyimbo, twatia mapambo tusifu mambo
Za Rabi zetu nyimbo, ya shetani huvunja mitambon
Msalabani we, tuokolowe, Mungu mwenyewe
Hanyimi afungiwe, nasi wenyewe na moyo tuwenhaya tufuate mfanowe
Rabi mshangilieni, watu wa imani, ndugu zangu karibuni,
Rabi Mshangilieni, ameshinda msiche shetanin
Nasi hakika hapana shaka, tutafufukankaburi tutatoka, na malaika kuhesabika
Wema wa Mungu katuzika
Mkate ukigeuka, Rabi atashuka, nyoyo zetu kutaka
Mkate ukigeuka, heshima twende kupeleka,n
Na ninyi tena, taabu mkiona jueni vyema, leo raha hakuna
Tupande sana, kesho kuvuna,nmilele na Rabi kuonana