Chorus
Pokeeni (pokeeni) Roho Mtakatifu atakayenwajia juu yenu muwe mashahidi wangu siontu wa Yerusalemu bali kwa mataifa yote
Verse 2
Akiisha kusema hayo, walipokuwanwakitazama akainuliwa wingunlikampokea kutoka machoni paon
Verse 3
Mara walipokuwa wakitazamanwakaja watu wawili wakawaambianalivyochukuliwa kwenda mbinguni vivyonatakuja kutoka mbinguni
Verse 4
Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu,nkutoka mlima uitwao Mizeituninwakaingia ghorofaninwakimngoja Roho Mtakatifu
Verse 5
Hata ilipotimiasiku ya Pentekoste,nwalikuwapo wote mahali pamoja
Wakajazwa na Roho Mtakatifu,nwakaanza kulihubiri neno