Pokeeni Kwa Bwana
Lent,Wedding,Ordinary Time,Wedding,WeddingThanksgiving
Chorus
Pokeeni kwa Bwana wingi wa baraka
Kwa ndoa yenu takatifu
Verse 2
Wanaume inawapasa kuwaheshimu wake zao
Verse 3
Wanaume wawaonyeshe wake zao pendo la Kristu
Verse 4
Nao wake wawafuate waume zao kama Kristu
Verse 5
Kila mtu ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe
Verse 6
Wanaume watawaacha baba zao na mama zao
Verse 7
Ataungana na mkewe na watakuwa mwili mmoja
Verse 8
Hili ni fumbo la upendo kati ya Kristu na kanisa