Pokea Zawadi Zetu Baba
,Ordinary Time,EasterPresentation of Gifts
Chorus
Pokea zawadi zetu Baba x2
Verse 2
Mkate na divai pokea Baba
Mazao ya mashamba upokeen
Na kiini cha ngano pokea Baba
Na tunda la mzabibu upokeen
Pokea mali yetu pokea Baba
Na pia nafsi zetu upokeen
Furaha na uchungu pokea Baba
Fanaka na udhiki upokeennpokea fedha zetu pokea Baba
Ingawa ni kidogo upokeen
Tazama nia zetu pokea Baba
Kwa radhi zako upokeen
Kwa moyo mkunjufu pokea Baba
Twatoa vyote kwako upokeen
Vipate kuugezwa pokea Baba
Viweze kutufaa upokee.