SectionsThanksgivingPokea Sifa Zangu

Pokea Sifa Zangu

Thanksgiving
Chorus

Ninakupenda Mungu (wangu) ninakupenda wewenmilele na milele (bwana) nitakutukuza.

Pokea sifa zangu (bwana) zinazotoka katikankinywa changu (ndani) mimi na moyoni mwangun

Verse 2

Katika makusanyiko, nitaziimba zaburi,nnitazitangaza sifa, zako daima milele

Kwenye madhabahu yako, nitaitoa sadaka,nile ya kukupendeza,nee Mungu Muumba wangu.

Verse 3

Umenitendea mengi, mema yasiyo idadi,nninakushukuru Bwana, ee Baba Muumbanwangu. Nikiyakumbuka yote, machozinyanimwagika, ni machozi ya furaha, ninmachozi ya upendo.

Verse 4

Usiniache ee Bwana, na wala usinitupe,nukinitupa wewe, nani ataniokota. Ndiwenmsitiri wangu, katika dunia hii, dunianyenye mateso, na yenye mahangaiko