Pokea Moyo

Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary TimeEucharist
Chorus

Pokea moyo wangu ee Mungu wangu

Niweze kukupenda kwa pendo lako

Unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozi wangu

Shinda kwangu, nami daima kwako

Verse 2

Onjeni muone kwamba Bwana yu mwema

Na heri yule mtu anayetumaini Yesu Kristu

Verse 3

Katika nguvu za giza katutoa

Na kutukaribisha katika ufalme wa upendo

Verse 4

Habari njema alituhubiria na kutufungulia

Akatangaza mwaka wa neema

Verse 5

Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesu,

Sikosi kitu kamwe kuniongoza kwenye njia nyofu