Chorus
Pokea moyo wangu ee Mungu wangunniweze kukupenda kwa pendo lako,n(unipe moyo wako, ewe Yesu Mkombozinwangu shinda kwangu nami daima kwako) x2
Verse 2
Onjeni muone kwamba Bwana yu mwemanna heri yule mtu anayetumaini Yesu Kristu
Verse 3
Katika nguvu za giza katutoanna kutukaribisha katika ufalme wa pendo lake
Verse 4
Habari njema alituhubiria na kutufungulianakatangaza mwaka wa neema
Verse 5
Mchungaji wangu mkuu ndiye Bwana Yesunsikosi kitu kamwe kuniongoza kwenyennjia nyofu