Panda Milimani

Bible Procession
Chorus

Panda milimani, panda milimani,nshuka mabondeni, shuka mabondeni,nshika hili neno, Neno la Bwanan

Verse 2

Nguvu ninakupa, kulihubiri, hili nenonlangu, shika hili neno, neno la Bwana

Verse 3

Neno kwa wamama, neno kwa wababa,nneno kwa watoto, Shika hili neno, neno la Bwana

Verse 4

Neno kwa vijana, neno kwa wazee, nenonkwa wakristu, shika hili neno, neno la Bwana

Verse 5

Neno kwa Wakamba, neno kwa

Waluhya, neno kwa Waluo, Shika hili neno, neno la Bwana

Verse 6

Neno kwa vipofu, neno kwa viwete, nenonkwa viziwi, shika hili neno, neno la Bwana