Verse 1
Palikuwa na kijana mmoja jina lake Samweli,
Alikuwa akimcha Mungu tangu utoto wake
Chorus
Alisikia sauti Ikimwita, Samweli, Samweli *2
Verse 3
Alikuwa 'kiitwa na Mungu, lakini hakujua,
Alikimbilia kwake Eli, Eli hakuelewa
Verse 4
Aliitwa naye Mungu tena, wala hakufahamu,
Eli 'kashangaa akasema: Mimi sikukuita
Verse 5
Alipoitwa mara ya tatu, Samweli akajibu:
Nena, Bwana, mtumishi wako anatega sikio.
Verse 6
Mungu akawa pamoja naye, na Israeli nzima