Our Lady Mass

2 sections

Lord Have Mercy

Lord Have Mercy

Bwana utuhurumie *3

Sisi wakosefun

Kristu utuhurumie *3

Sisi wakosefun

Bwana utuhurumie *3

Sisi wakosefun

Gloria

Glory to God

Utukufu kwa Mungu mbinguni, utukufu

Kwa Mungu mbinguni, na amani

Duniani kwao watu, kwao watu

Kwa watu wenye mapenzi meman

Tunakusifu, twakuheshimu

Twakuabudu, twakutukuza

Twakushukuru mfalme wa mbingu

Mwana wa pekee, mwana wa baban

Bwana unayeondoa makosa yetu

Utuhurumie tusikilize

Kuume kwa baba unapoketi

Mtakatifu mkuu tuhurumie Bwanan

Pamoja na Roho Mtakatifu

Ndani ya Baba unatukuzwa

Mungu mmoja anayeishi

Ndiye mtawala milele yote Bwanan