SectionsExitOndoka Ewe Bibi Harusi

Ondoka Ewe Bibi Harusi

Ordinary Time,Ordinary Time,WeddingExit
Chorus

Ondoka ewe Bwana harusi, tembea wakuone

Ondoka ewe bibi harusi, tembea kwa maringo

Njoo kwangu nikueleze, neno moja toka moyoni mwangun{ Nimekuchagua wewe, wewe wangu, wa maisha

Tangu leo, mimi na wewe ni kitu kimoja }*2

Verse 2

Sikiliza nyimbo nzuri nderemo ngoma vinanda

Haya yote ni kwa ajili yangu, mimi na wewe *2

Verse 3

Angalia vazi langu lilivyopambwa vizuri

Watu wanatushangilia, siku ya leo *2

Verse 4

Nimekuja kwako leo, uthibitishe hakika,

Mimi kweli ninakupenda, wewe ni wangu *2

Verse 5

Tumeacha wale wote tumejifunga pamoja

Mimi na wewe hatutengani, milele yote *2