SectionsEntranceOna Mnavyopendeza

Ona Mnavyopendeza

Wedding,WeddingEntrance
Chorus

Ona mnavyopendeza,nona mnavyometameta x2

Wapenzi wana harusinmwende mkaishi salama x 2

Verse 2

Kwenye maisha ya ndoa,nkuna raha pia tabu,nmkiishi kwa upendo tabu na raha ni sawa.n

Mpendane siku zote,nkatika maisha yenu,nmsiruhusu shetani kuvuruga ndoa yenu.n

Watoto mtakaopewa,nmuwatunze hao vyema,nkwani kufanya hivyo Mungu mtampendeza.n

Mjenge familia bora,nyenye kuheshimu sala,nkwani kwa njia ya sala tunaongea na Mungu.