Nyumbani Mwake Bwana
Pentecostal,Ordinary Time,Wedding,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Christmas,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Ordinary Time,Pentecostal,Ordinary Time,Ordinary TimeEntrance
Chorus
Nyumbani mwake Bwana tuingie kwa furaha.
Twendeni tumwabudu tunjongee mbele zake. *2
Verse 2
Njoni tumsujudu yeye aliyetuumba
Yeye anatawala kwa haki na uamini.
Verse 3
Yeye ni Mungu mwenye utukufu wa ajabu
Yeye ni Mungu mwenye radhi nyingi na rehema.
Verse 4
Bwana ni mtawala amejaa utukufu na mashuhuda
Yake yastahili imani.
Verse 5
Yeye ni Mungu wetu wa amani na mapendo
Yeye ni Mungu mwenye utukufu wa ajabu.
Verse 6
Tumpigie shangwe mwamba wa wokovu wetu
Ni Mungu wa ujuzi na ni Mungu wa fahamu.
Verse 7
Na kwa nyimbo za sifa tujongee uso wake
Vifijo na nderemo tumsifu Mungu wetu
Verse 8
Na enyi waadili tukuzeni jina lake
Mfanyieni shangwe yeye aliyetuumba.