SectionsEntranceNyumbani Mwa Mungu

Nyumbani Mwa Mungu

Ordinary TimeEntrance
Chorus

Nyumbani mwa Mungu twingie kwanfuraha na kumwabudu.

Verse 2

Bwana asema: Nyumba yangu,nitaitwa nyumba ya sala.n

Ndani yake kila aombaye upokea,nabishaye ufunguliwa.n

Panapokusanyika wawili au watatu kwanjina langu, mimi nipo katikati yao.n

Kweli Bwana yupo mahali hapa,nhapa ni mlango wa mbingu.