Chorus
Nyumbani mwa Mungu twingie kwanfuraha na kumwabudu.
Verse 2
Bwana asema: Nyumba yangu,nitaitwa nyumba ya sala.
Verse 3
Ndani yake kila aombaye upokea,nabishaye ufunguliwa.
Verse 4
Panapokusanyika wawili au watatu kwanjina langu, mimi nipo katikati yao.
Verse 5
Kweli Bwana yupo mahali hapa,nhapa ni mlango wa mbingu.