Chorus
{ Nyumbani - mwa Bwana mna mema
Twendeni - kwa shangwe tumwabudu } * 2n{ Tuchezecheze turukeruke,
Tuimbeimbe, tumsifu Mungu } *2
Verse 2
Tuingie kwa shangwe kubwa, tumwimbie Muumba wetu
Kwa vinanda tumsifu Mungu
Verse 3
Nyumba yake ni takatifu, ma-kao matakatifu
Tuingie tumsifu Mungu
Verse 4
Yeye Bwana ni kinga yetu, yeye Bwana ni nguvu yetu
Pendo lake ni la milele