Chorus
Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,
Aleluya, Nyumba ya sala
Verse 2
Ewe Yerusalemu, umsifu mwenyezi Mungu
Umsifu Mungu wako ewe Zayuni
Verse 3
Anawaponnya waliovunjika moyo
Anawatibu majeraha yao
Verse 4
Yeye hupendezwa na watu wamchao
Watu wanaotegemea fadhili zake
Verse 5
Ameimarisha milango yako
Amewabariki watu waliomo kwako
Verse 6
Ameweka amani mipakani mwako
Verse 7
Humjulisha Yakobo ujumbe wake
Na Israeli maongozi na maagizo yake.