SectionsExitNyota Ya Asubuhi

Nyota Ya Asubuhi

MarianExit
Chorus

Tazameni nyota ya asubbuhi inang'aa hakika yapendeza*2

Nyota hiyo mama maria njoni nyote tumshangilie mama

Verse 2

Yeye ndiye bikira amini, yeye ndiye nyumba ya dhahabun

Yeye ndiye mlango wa mbinguni, yeye ndiye chombo cha heshiman

Yeye ndiye mama mpendelevu, yeye ndiye asiye na dhambin

Yeye ndiye bikira wa enzi, yeye ndiye mama wa huruma