Ni yule yulee
Ni yule yulee
Ni yule yulee
Mungu alivyo ooh hivyo ndivyo alivyo,
Mungu alivyo ooh hivyo ndivyo alivyo,
Mchana ni yule yule ( na ) usiku ni yule yule,n(Yeye) habadiliki ni yule, daima ni yule yule,n( ye ni yule Mungu) Mungu alivyo ooh
Hivyo ndivyo alivyo ndivyo alivyo
Alifundisha upendo akawafia wadhambi
Kahubiri msamaha kaombea wauaji
Anahimiza amani hata kwa wanaomkamata
Kweli Mungu habadiliki (yeye) ni yule yulee
Kaagiza ubatizo akabatizwa mwenyewe
Alihubiri huruma akawaponya wakoma
Anahimiza ibada naye hakutegea kusali
Kweli Mungu habadiliki (yeye) ni yule yulee
Lakini mwanadamu mimi- Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu *2n
Nahubiri upendo - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Huku nateta wenzangu - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusun
Nataka msamaha - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Huku nashitaki watu - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusun
Natangaza amani - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Huku nabeba silaha - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusun
Navaa msalaba - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Na hirizi kiunoni - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusun
Nina pete ya ndoa - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Na hawara mafichoni - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusun
Napaswa kugeuka - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Niwe mwenye msimamo - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu
Maana mwanadamu mimi - Mwanadamu mimi ni nusu kwa nusu *3