Chorus
Njooni tuingie kwa nyumba yake Bwana,
Njooni tufurahi mbele yake muumbann(kwa furaha-tuimbenkwa sauti- tusifunkwa vinanda-tuchezenkwa nderemo-na shangwe
Tuingie nyumbani mwake bwana muumba wetu } *2
Verse 2
Asubuhi njema ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
Verse 3
Maisha mazuri ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
Verse 4
Afya na mavazi ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
Verse 5
Elimu na kazi ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
Verse 6
Wanyama mimea ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu
Verse 7
Amani umoja ametujalia-
Twendeni wote tumshukuru Mungu wetu