Verse 1
Njooni wote tufurahie tushangilie
Watu wote simameni pigeni makofi
Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu
Watu wote simameni pigeni makofi
Chorus
{Tupige ngoma na kayamba
Marimba na vigelegele
Nyumba ya Bwana yapendezanwatu wote tufurahi} *2
Verse 3
Bwana ametamalaki, tushangilie . . .
Amejivika adhama, tushangilie . . .
Verse 4
Kawakomboa misri toka utumwa . . .
Tumwimbie kwa furaha na shangwe kuu . . .
Verse 5
Aliratibisha jua na mbalamwezi . . .
Twaipata hewa safi pia chakula . . .