Chorus
Njooni sikilizeni, makuu ya Bwana *2
Verse 2
Omba kwangu nami nitakupa
Maarifa kuwa urithi wako
Verse 3
Omba kwangu nami nitakupa
Kingo za dunia kuwa mali yako
Verse 4
Utawaponda kwa fimbo ya chuma
Tawavunja kama chombo cha mfinyaji
Verse 5
Mtumikieni Bwana kwa kicho
Shangilieni kwa kutetemeka
Verse 6
Shikeni basi yaliyo bora
Asije akafanya hasira