Verse 1
Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake Bwana
Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake Bwana
Chorus
Tuingie nyumbani, nyumbani mwa Bwana
Kwa shangwe na nderemo, makofi tupigen{ Tumwabudu Mungu kwa furaha tumsifu
Tumwimbie nyimbo nzuri, yeye ndiye muumba wetu } *2
Verse 3
Kina mama tuingie . . .
Kina babu tuingie . . .
Verse 4
Na vijana tuingie . . .
Na watoto tuingie . . .
Verse 5
Ni mahali pa- sala . . .
Tutoe shukrani . . .
Verse 6
Tutapata msamaha . . .
Tutapata ba-raka . . .