Chorus
Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu
Njooni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu
Verse 2
Na kwa maisha yetu - tunakushukuru
Na kwa upendo wako - tunakusalimu
Verse 3
Na kwa umoja wetu - tunakuheshimu
Na kwa imani yetu - tunakutukuza
Verse 4
Na kwa furaha yetu - tunakusifu wee
Na kwa uchungu wetu - tunakuomba wee
Verse 5
Na kwa mazao yetu - tunajitolea
Na hayo yote Baba - tunakutolea