Chorus
[t] Njooni nyote *2 tuingie nyumbanin[b] Nyumbani Mwa Bwanan[w]Nyumbani mwa Bwana
Bwana Mungu wa majeshi
Verse 2
Tuingie kwa furaha na shangwe
Tumwabudu Bwana muumba wetu
Verse 3
Sisi ndio watu wake Bwana
Tumwimbie Bwana Mumba wetu
Verse 4
Twakuita kwa vigelegele na vinanda pia baragumu
Sifu jina lake kuu tuliabudu na kulitukuza