SectionsEntranceNjooni Niwafundishe

Njooni Niwafundishe

Pentecostal,Ordinary Time,Wedding,Ordinary TimeEntrance
Chorus

{Njooni kwangu (ni) niwafundishe hekima

Njooni mpate hekima }*2n{Niwafundishe upendo, niwafundishe kusali

Na niwafundishe kuimba

Njoni kwangu enyi wanangu nitawafundisha yote}*2

Verse 2

Ili tuwe na hekima, mpaka tumjue Mungu,

Kwani mwanzo wa hekima ni kumjua Mungu *2

Verse 3

Tukipata hekima, tumepata busara

Tumepata na elimu ya kumjua Mungu *2

Verse 4

Bwana Mungu anasema kwamba watu wangu

Wanaangamia wote kwa kukosa hekima *2

Verse 5

Niwafundishe kuishi maisha ya amani

Niwafundishe kunena maneno ya hekima