SectionsEucharistNjoo Tule Mana

Njoo Tule Mana

Pentecostal,Ordinary TimeEucharist
Chorus

[s] Njoo tule mana- Mana ya Kristu manan[s] Njoo tule mana,n[t] Aa mana ya Kristu *2

Verse 2

Kila tulapo mwili wake Yesu na kunywa damu yake

Twatangaza kifo chake mpaka atakaporejea

Verse 3

Mkate kutoka nganoni ya nchi, hugeuzwa mwili wake

Kwenye ibada ya misa tuule ili tupate wokovu

Verse 4

Divai iliyo ya mizabibu, hugeuzwa damu yake

Kwenye ibada ya misa tuinywe ili tupate wokovu

Verse 5

Njooni tule mana yake Yesu , iliyotoka Mbinguni

Ni chakula cha roho, tuile tumeshiba daima