Chorus
Njoo njoo njoo kwetu Roho Mwema Mfariji *2
Tufundishe ya Mbinguni tuwe wote watu wapya
Njoo Roho mwema njoo kwetu njoo
Utupe hekima tuishi na wewe *2
Verse 2
Wewe waitwa kisima cha uzima tena mafuta ya roho *2
Verse 3
Wewe mtoaji wa mapaji saba kwa jina la Mungu Baba *2