Verse 1
Njoni wapenzi tufanye shangwe -
Chorus
Mwokozi Bwana amezaliwa
Verse 3
Viumbe vyote tufanye shangwe -
Chorus
Na tufanye shangwe, twimbe aleluya,
Mwokozi Bwana amezaliwa.
Verse 5
Malaika alitutangazia -
Furaha yetu ni kubwa sana -
Verse 6
Twende pamoja na wachunga -
Tumwone mtoto Yesu pangoni -
Verse 7
Yeye ni kweli mwana wa Mungu -
Mapendo yake hayana mwisho -
Verse 8
Hii ni siku ya furaha kuu -
Mungu mwenyewe atushukia -
Verse 9
Tufanye shangwe kwa nyimbo nzuri -
Tumsifu Bwana na kumshukuru -
Sisi kwa sisi tupendane -
Tulifuate pendo la Yesu -